Features
For Household use
Laundry
Floors & Hard Surfaces
Sinks, Drains & Toilet bowls etc
For General Disinfecting
Kills household germs on hard, non-porous surfaces such as kitchen and bathroom floors, toilets, draper pales and pet areas.
Apply A1-Pine with sponge or cloth, full strength wet surfaces, leave it for 10 minutes, then remove excess from highly soiled areas.
Matumizi ya Nyumbani
Udobi
Nguo, nepi, vitambaa vya mikononi au mezani nk, kijiko moja cha chai kwenye lita moja ya maji.
Sakafu
Vijiko vya chai viwili kwenye lita 4
Sinki
Majitaka na vyoo bakuli, vijiko vinne vya chai kwenye lita 4
Kwa usafi wa jumla
Inaua vimelea vya wadudu wa nyumbani sehemu zote ngumu na zisizo na vitundu hasa jikoni, bafuni sakafuni, chooni ndoo za napi na maeneo ya wanyama nk.
Tumia A1-Pine kwa sponji au nguo, kwa nguvu, sehemu nyevunyevu na uache ikae dakika 10, halafu ondoa sehemu iliyo chafuka sana.
Active Ingredient
Specifications: