This product is very effective to shine, ceramic materials like: tiles, ceramic sinks, bathroom ceramic tiles and ceramic toilet bowls.
Its chemical composition can remove stains on your ceramic tiles and does not bleach the color
HOW TO USE
Wear hand gloves and shoes to prevent skin irritation and skin chapping and use hand brush to clean the ceramic tiles, shake the bottle before use.
For disinfection and sterilization, dilute 3 capfuls in 1 litre of water Do not mix with other detergents
For tough stains do not dilute the product but just sprinkle sufficient on ceramic tiles and leave for 10 minutes. Scrub thoroughly and then rinse with enough water
Do not step on the floor bare foot before it has been rinsed properly
INGREDIENTS
De-Mineralised Water
Non-Ionic Surfactant
Hydrochloric Acid (Acidic Based)
MATUMIZI
Bidhaa hii inasafisha vizuri vifaa vinavyong'aa jamii ya (Ceramic) Marumaru, masinki, vyoo n.k
Mchanganyiko wa kemikali zake unaweza kuondoa uchafu sugu katika marumaru masinki na vyoo bila ya kuathiri rangi zake
JINSI YA KUTUMIA
Vaa gloves na viatu kukinga ngozi isiathiriwe na tumia brashi la mkono kusafishia, tingisha chupa kabla ya kutumia
Kwa uchafu ulio kakamaa usichanganye na maji bali sambaza vizuri katika sehemu husika, acha kwa dakika 10 kisha sugua vizuri na suuza kwa maji ya kutosha.
Kwa usafi wa kawaida changanya vifuniko vitatu (3) katika lita moja ya maji au kadri utakavyo ona inafaa
Safisha vizuri kwa maji ya kutosha baada ya kutumia bidhaa hii. Usikanyage bila viatu au usiguse bila gloves kabla ya kusuuzwa vizuri.