Specially formulated for use on almost all surfaces except engine parts 1
It can be used for cleaning or washing dishes, floor, tiles, car body, carpets, clothes, wooden surfaces, bathrooms and toilets.
It has nice smell that leaves on for a long time.
How to use
For better result, dilute 3 capfuls of soap in 1 litre of fresh water or put water in a sink or bucket and sufficient quantity of soap. For example 5 litres of water per 1 litre of soap.
Ingredients
De-Mineralised Water
Non-Ionic Surfactant
Anti-staining Agent
Matumizi
Imetengenezwa maalumu kusafisha vitu mbali mbali isipokua kusafisha injini.
Inaweza kutumika kusafisha, sakafu, tiles, magari, makapeti, vifaa vya mbao, bafu na vyoo
Ina harufu nzuri ambayo inadumu kwa muds mrefu pale inapotumika.
Jinsi ya kutumia
Ili upate matokeo mazuri, changanya vifuniko vitatu
vya sabuni katika lita 1 ya maji safi.
Au weka maji katika sinki au ndoo na weka kiasi cha kutosha cha sabuni.