Special detergent formulated to clean in hospitals, schools, guest houses, restaurants and homes III It is a general purpose detergent can be used anywhere such as tables, cupboard, chairs e.t.c except on human body.
It is used to clean cocks and sinks of stainless steel origin, tiles, floors, kitchen, drains, bathrooms and toilets
How To Use
For better result, dilute two (2) capfuls in one (1) litre of water or usage as per your requirement.
For tough stains use undiluted directly and wait for five(5) minutes to clean.
It is advisable to disinfect 3 times a day or as per your usage requirement to maintain good hygiene.
Ingredients
De-Mineralised Water
Non-Ionic Surfactant
Pure Pine Extract & Fragrance.
Matumizi
lmetengenezwa maalumu kwa ajili ya usafi wa sakafu hasa hosipitalini, viwandani na maofisini. nyumba za wageni, migahawa na majumbani.
Ni king'arishi kwa ajili ya kusafishia vitu mbali mbali kama vile meza, kabati, viti n.k isipokuwa katika mwili wa mwanadamu.
lnatumika kusafisha na kung'arisha hasa koki za mabomba na masinki ya stainless steel, tiles, sakafu, jiko, mifereji, masinki, bafu na vyoo na kuondoa harufu mbaya.
Jinsi ya kutumia
Kwa usafi wa kawaida changanya Purepine vifuniko viwili (2) katika lita moja (1) ya maji au kadri utakavyoona inafaa, kisha safisha eneo husika.
Kwa usafi wa maeneo yenye uchafu sugu utamwangia Purepine bila kuchanganya na maji subiri kwa dakika tano kisha sugua.