Emina Window Cleaner Liquid 500ml (spray)

(0 reviews)

Sold by:
Inhouse product

Price:
TSh2,500 /pc

Quantity:
(100 available)

Total Price:
Whatsapp Order
Share:

Matumizi

  • lnafaa kuondoa uchafu na harufu mbaya na kuwacha harufu nzuri majumbani, mahospitalini, sehemu za biashara nk: na kuua vijidudu.
  • Inafaa kusafishia na kun'garisha vioo katika magari, majumbani, mahospitalini na sehemu za biashara nk. 
  • Jinsi ya Kutumia
  • Puliza katika eneo unalotaka kusafisha kisha sugua kwa Kitambaa kikavu. 

Tahadhari

  • Kwa matumizi ya Nje tu.
  • Weka mbali na watoto. 
  • Endapo itaingia machoni suuza hiyo sehemu na maji mengi.

Ingredients

  • De-Mineralised Water, Non-ionic Surfactant, Colour & Alcohol
There have been no reviews for this product yet.